Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

Hakutakuwa na kipengele cha ndoa, watasoma eti alizaliwa tar fulani, amekufa tar fulani na ukute mutu haujasoma ghaaiii hata hawaandiki
Wataandika kazi uliyowahi kufanya na maeneo yoote uliyowahi kutembelea hadi huku JF
 

Ngoja niwaconnect
 
Dah kabila limenikosesha mume, kila la heri mkuu Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
sema kwa umri nlionao mi naangalia tu utimamu wa akili ya mtu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] miaka yangu 30's nianze kuchagua si nakufa bila historia ya ndoa kwenye historia ya marehemu itakuwa fupi mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom