Mr Ballo
Member
- Apr 21, 2024
- 43
- 83
- Thread starter
- #41
Kila binadamu ana mtazamo wake... naamini wewe pia unamtazamo wako kama ulivyoona Makabila hayahusiki, basi mimi naona Makabila yanahusika kwenye uchaguzi wa mwenza wa maisha.Mapenzi nayo yanachagua makabila kumbe😔
Hata hivyo isije kuwa wewe umeegemea uchaguzi wa kutimiziana haja tu kwa muda mfupi...! Kama ndivyo ulilenga basi hapo hatuhitaji kuangalia KABILA wa DINI au hata LUGHA, yaan ni kukamatia na wewe kamata na wako.