Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Ulifeli wapi hadi jamaa kachukua single maza wa watoto wanne? Ilifaa uwe kataa ndoa kwa sasa.Ameolewa na mwanaume mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulifeli wapi hadi jamaa kachukua single maza wa watoto wanne? Ilifaa uwe kataa ndoa kwa sasa.Ameolewa na mwanaume mwingine
NAKAZIAMtafutie mwingine mwenye vigezo anavyohitaji
hujambo kijana,hebu njoo inbox tuongee naweza kukusaidiaHabari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema.
Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam.
Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu.
Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati na Maridhiano.
Ningependa kufahamiana na mwanamke mwenye umri wa kati ya miaka 25 hadi 35, anayejiheshimu, mwelewa, na mwenye mtazamo chanya wa maisha.
"Nikimpata Mchaga ntashukuru zaidi"
Nimejaliwa kuwa na watoto na ninaishi na wanangu.
Kama unadhani tunaweza kufahamiana zaidi, tafadhali niandikie ujumbe wa moja kwa moja (DM) au tuanze mazungumzo hapa.
Asanteni kwa muda wenu.
Natumaini kupitia nafasi hii nitakutana na mtu maalum na naomba wale wote wenye masihara wajiepushe na andiko hili.(Niko serious)
Vigezo vmepungua staki nkose kote 🤣🤣Nimemuona sio wa Umri ule unaoutaka. Au Umeshusha Umri kidogo 🤣🤣
Subiri hapo hapoooVigezo vmepungua staki nkose kote 🤣🤣
Ngoja nisubiri tu ikifika 4th unipe kakaSubiri hapo hapooo
Yupo endelea kumtunzia bachelasugu wetuNgoja nisubiri tu ikifika 4th unipe kaka
Ingawa kachelewa! Anyway kila lakheri kwake.Nakuombea upate hitaji la moyo wako
Hakutakuwa na kipengele cha ndoa, watasoma eti alizaliwa tar fulani, amekufa tar fulani na ukute mutu haujasoma ghaaiii hata hawaandikiKumbe hapo ni historia itakuwa fupi unahofia? Mmmmh
Hatimaye wachaga tumefikiwa 🤣🤣🤣🤣Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema.