Kila binadamu ana mtazamo wake... naamini wewe pia unamtazamo wako kama ulivyoona Makabila hayahusiki, basi mimi naona Makabila yanahusika kwenye uchaguzi wa mwenza wa maisha.Mapenzi nayo yanachagua makabila kumbe😔

sema kwa umri nlionao mi naangalia tu utimamu wa akili ya mtu😄😄😄😄 miaka yangu 30's nianze kuchagua si nakufa bila historia ya ndoa kwenye historia ya marehemu itakuwa fupi mnoKila binadamu ana mtazamo wake... naamini wewe pia unamtazamo wako kama ulivyoona Makabila hayahusiki, basi mimi naona Makabila yanahusika kwenye uchaguzi wa mwenza wa maisha.
Hata hivyo isije kuwa wewe umeegemea uchaguzi wa kutimiziana haja tu kwa muda mfupi...! Kama ndivyo ulilenga basi hapo hatuhitaji kuangalia KABILA wa DINI au hata LUGHA, yaan ni kukamatia na wewe kamata na wako.
utapata kijana wangu, usikate tamaaHabari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema.
Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam.
Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu.
Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati na Maridhiano.
Ningependa kufahamiana na mwanamke mwenye umri wa kati ya miaka 25 hadi 35, anayejiheshimu, mwelewa, na mwenye mtazamo chanya wa maisha.
"Nikimpata Mchaga ntashukuru zaidi"
Nimejaliwa kuwa na watoto na ninaishi na wanangu.
Kama unadhani tunaweza kufahamiana zaidi, tafadhali niandikie ujumbe wa moja kwa moja (DM) au tuanze mazungumzo hapa.
Asanteni kwa muda wenu.
Natumaini kupitia nafasi hii nitakutana na mtu maalum na naomba wale wote wenye masihara wajiepushe na andiko hili.(Niko serious)
Mahusiano mengine kabisa yakoje? Siyo ya kindoa?Tumeachana na yupo kwenye mahusiano mengine kabisa
Naona wapare wàmenuna.utapata kijana wangu, usikate tamaa
Hongera, lakini utapata unachokitaka😎, I hope utatuletea feedbackHabari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema.
Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam.
Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu.
Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati na Maridhiano.
Ningependa kufahamiana na mwanamke mwenye umri wa kati ya miaka 25 hadi 35, anayejiheshimu, mwelewa, na mwenye mtazamo chanya wa maisha.
"Nikimpata Mchaga ntashukuru zaidi"
Nimejaliwa kuwa na watoto na ninaishi na wanangu.
Kama unadhani tunaweza kufahamiana zaidi, tafadhali niandikie ujumbe wa moja kwa moja (DM) au tuanze mazungumzo hapa.
Asanteni kwa muda wenu.
Natumaini kupitia nafasi hii nitakutana na mtu maalum na naomba wale wote wenye masihara wajiepushe na andiko hili.(Niko serious)
iii jamaniii[emoji53], tuna nini wa marangu mkuu?Kila la kheri, epuka tu wachaga wa marangu
woii[emoji58] mbona mnatusema vibaya jamani? sio vizuriMungu akujalie upate unachohitaji,ila machame na marangu chunga sana)
Doh! Sii mchezo mzeya upo vizuri kwenye mineso neso ya kiunoWatoto wanne(4)
Anaye pumua tuu humuhitaji? Nipo hapasema kwa umri nlionao mi naangalia tu utimamu wa akili ya mtu😄😄😄😄 miaka yangu 30's nianze kuchagua si nakufa bila historia ya ndoa kwenye historia ya marehemu itakuwa fupi mno
ukitaka kua na furaha, pata kile moyo wako unahitaji (hitaji a moyo).Naweza kuwa na mwenza wa kutokea kabila lingine pia, kwangu nimeonelea akiwa Mchaga mwenzangu nitampatia kipaumbele zaidi japokuwa sijawakataa makabila mengine
Uko sahihi kabisa dada, naweza kuwa nshakupata wewe ni vile tu sijakabidhiwa rasmi.ukitaka kua na furaha, pata kile moyo wako unahitaji (hitaji a moyo).
unataka mchaga mwenzio then usibadiri mawazo haraka, ikitokea kweli umekosa kabisa, basi unaweza badili mawazo, lakini for your happiness na ili uwe na amani get what u want kijana, cas nauhakika huezi kosa.
rungu mkononiiii jamaniii[emoji53], tuna nini wa marangu mkuu?