Nipo hapaNaitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo hapaNaitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Ukweli usioumizaWewe endelea na hizo sifa zaki tena subiri uwafanyie interview kabisa
1. Ndoa ni kitu ambacho ni social kinaletwa na mahusiano ,ambayo ni sehemu ya mwili(ubavu) uliopotea sasa unautafuta
2. Kuweka sifa za kielimu, dini, nk maana yake unataka kulazimisha ubavu ambao sii wako na haukupangiwa na Mungu (Mungu hana dini)
3. Hizo sifa ulizoweka kama za ajira maana yake zikipungua au zikiisha ndoa haipo, kama ajira akifukuzwa kazi unamtema, kama akibadili dini au wewe ukibadili unamtema,
Kwenye dini nimeshaferi,kujishughulisha ninapo,,miaka 34 ndio naikaribia,sina mtotoNaitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Ukitaka kuleta upitishe tangazo PM nijiasesi huko huko kama linaweza fanyika jambo la kumpendeza Mungu.Kila la kheri.
Mrejesho muhimu ili nami nilete tangazo langu
Hivi Kumbe Kuna wanaume mko 34 hamjaoa? 🤔Kwenye dini nimeshaferi,kujishughulisha ninapo,,miaka 34 ndio naikaribia,sina mtoto
😀😀 Sawa mpendwaUkitaka kuleta upitishe tangazo PM nijiasesi huko huko kama linaweza fanyika jambo la kumpendeza Mungu.
Tuko wengi kweli lolHivi Kumbe Kuna wanaume mko 34 hamjaoa? 🤔
Mnasubiri nini sasaTuko wengi kweli lol
Kila la kheri , Pia tutajie na Id yako Ya zamanlNaitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Nimekidhi vigezo dini ndio kipengeleNaitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Kwa kawaida wanawake sisi ni matomaso sana hadi yatukute ndipo tunaona ukweli. Mimi nilizingatia sana maneno ya waliotangulia especially wanaume huwa mnatuambia ukweli mtupu kuwa maringo huwa yanatupelekea shimoni sana siku za mbeleni..........Miaka 32 its too late already....tafuta yeyote anayepumua tu......soon utaingia 35 - 40 ambayo ni danger zone
34?! Nina kaka zangu wamesusa kuoa na wapo 38 huko wanaenda 40 hawana hata mtoto wa kusingiziwa.....Hivi Kumbe Kuna wanaume mko 34 hamjaoa? [emoji848]
🤣🤣🤣🤣Ati wamesusa kuoa loh!!watafute watoto walau 🤣🤣🤣🤣 kaka zako kiboko34?! Nina kaka zangu wamesusa kuoa na wapo 38 huko wanaenda 40 hawana hata mtoto wa kusingiziwa.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini hutaniangusha!😀😀 Sawa mpendwa
😊Naamini hutaniangusha!