Natafuta Mwenza (Mume)

Natafuta Mwenza (Mume)

Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Nipo hapa
 
Wewe endelea na hizo sifa zaki tena subiri uwafanyie interview kabisa
1. Ndoa ni kitu ambacho ni social kinaletwa na mahusiano ,ambayo ni sehemu ya mwili(ubavu) uliopotea sasa unautafuta

2. Kuweka sifa za kielimu, dini, nk maana yake unataka kulazimisha ubavu ambao sii wako na haukupangiwa na Mungu (Mungu hana dini)

3. Hizo sifa ulizoweka kama za ajira maana yake zikipungua au zikiisha ndoa haipo, kama ajira akifukuzwa kazi unamtema, kama akibadili dini au wewe ukibadili unamtema,
Ukweli usioumiza
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Kwenye dini nimeshaferi,kujishughulisha ninapo,,miaka 34 ndio naikaribia,sina mtoto
 
Kila la kheri.
Mrejesho muhimu ili nami nilete tangazo langu
Ukitaka kuleta upitishe tangazo PM nijiasesi huko huko kama linaweza fanyika jambo la kumpendeza Mungu.
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Kila la kheri , Pia tutajie na Id yako Ya zamanl
 
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu!
-Umri 32
-Dini Mkristo
-Elimu Degree
-Kazi Mwajiriwa
-Sina mtoto

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo
Awe- Dini mkristo
-Umri 34-45
-Awe anajishughulisha
Nimekidhi vigezo dini ndio kipengele
 
Miaka 32 its too late already....tafuta yeyote anayepumua tu......soon utaingia 35 - 40 ambayo ni danger zone
Kwa kawaida wanawake sisi ni matomaso sana hadi yatukute ndipo tunaona ukweli. Mimi nilizingatia sana maneno ya waliotangulia especially wanaume huwa mnatuambia ukweli mtupu kuwa maringo huwa yanatupelekea shimoni sana siku za mbeleni..........

Ila nilikubaliana na ukweli mapema ingawa ni mgumu sana kuuelewa especially ukiwa bado upo ule umri wa usichana wa miaka 19 hadi 25. Hapa ndio umri ambao aidha utaharibu au kujenga njia yako bora ya mahusiano.

Maisha huwa yana vitu vingi sana. Kukosa focus ya vitu muhimu kwaajiri ya kufuatilia vitu visivyo na umuhimu mbeleni huwa ndio changamoto inayotumaliza na kutuvuruga mbeleni.

Neno uhuru wa kufanya tunachotaka ni mtego mkubwa sana wa kisaikolojia tumewekewa wanawake. Ukiona hakuna mtu ana question maamuzi yako jua upo kwenye hatari kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf ni uwanja huru kila mtu na maoni yake tena maoni huru
Tangazo halilipiwi kodi hapa JF
Free kabisa
Zingatia tu kuleta mrejesho wa interview ili mambo yawe ya wazi na ukweli,
Ila kuna raia wabahili wa mirejesho balaa,
 
Back
Top Bottom