Mpe maelekezo ajue kabisa um wamo wale wa kunyonya damMkuu huku utaambulia masingo maza
Unampashia kipolo wakati anatafuta brand newnje ya mada,, ulifanikiwa kumuacha yule mwanajeshi wako alokua anakunyanyasa au unatafuta ka mchepuko ka kujipozea
Kila la keheri mkuu.Mimi ni mzee kijana wa miaka 41.Natafuta mwanamke wa kuja kuoa awe na miaka 30 mpaka 39.Dini yoyote. mengine yote ni sawa.Naishi Mkoa wa Arusha vijijini. Home town ni Kilimanjaro. Namba zangu 0679383475
anatakiwa aweke wazi tu ili watao mpigia wasije wakaliwa kichwaUnampashia kipolo wakati anatafuta brand new
mbwa wewe unanionea wivu, basi kaolewe wewe 😅Amesema mwanamke ajasema anataka msukuma ndugu kiongozi
Apo kwenye kuolewa muite baharia anapenda ushemeji shemejimbwa wewe unanionea wivu, basi kaolewe wewe 😅
leo yuko busy na mashoga, tumuache kwanzaApo kwenye kuolewa muite baharia anapenda ushemeji shemeji