Natafuta mwenza Wa kuoa hapa Tanzania.

Natafuta mwenza Wa kuoa hapa Tanzania.

Nikupe namba zake...??
20260605_163436.jpg
 
Kwahiyo ata awe na mapepo ya ngono ni sawa, ata awe bipolar sawa naona hujajifunza na ngwe ya kwanza mkuu tuliza mhemko kumbuka taaabu na mahangaiko ya mjeda imagine unapata kubwa kuliko username yako itabadilika kua RIP
 
Jinsi upepo unavyovuma ndivyo nyeti za kuku zinaonekana bwashee
JF VAR CHECK


 
Back
Top Bottom