Na ndiyo maana akasema mengine yote ni sawa, yeye ako 41, anamtaka mwanamke 30-39 unategemea aweje? Single maza mnazoimba ni za tuvijana tudogo akili haijapevuka ila kwa watu wazima hakuna shida yoyote na ndiyo maana kwa watu walioendelea your pasts has nothing to do with your current akikupenda amekupenda hata uwe na watoto 6 hana uoga wowote na haoni kama ni kikwazo! Ila vijana hawa wa kimasikini kama sie na unakuta pia mama zao single mazaz wamelelewa na baba hawana idadi, dada zao single mazaz, ila nao mitandaoni wamo humu kuwaponda single maza! Shame