Hako kadada kuna kipindi kalidai nimekafuata pm ,acha kachanganyikiwe bwashee😄JF VAR CHECK
Shikamoon wakubwa zangu
Unajua kuna namna ukipita, au ukiwa kwenye Nyakati ngumu unajikuta, huwazi mambo ya ngono na huhitaji mpenzi.
Sasa kwasasa angalau nipo kwenye wakati mzuri. So kuna kitu nakuta nakikosa, mmmh nyege mbaya niwe mkweli nimeshindwa kukaza, mbaya zaidi hata mtu wangu hajawahi nipigia simu.
Tungekuwa wanawake tunatongoza, naona leo ningetafuta lakini, si taratibu zetu.
Ila hapanaaaaa, kuwasha si kuwasha viungo vimekaza, kazi zitanishinda leo.
Ngoja nitafute kitu cha kuniweka busy
- Marry Diana
- nimeshindwa
- Replies: 488
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Yeye anataka mke, hilo la muonekano ni la kwako!Oya huyu si shangazi huyu sasa huoni 41 na 39 unaonekana wewe mtoto wake kabisa wa kumzaa au ulikua haujui?
Ila wapambe nuksi bhana.....Mkuu huku utaambulia masingo maza
Na ndiyo maana akasema mengine yote ni sawa, yeye ako 41, anamtaka mwanamke 30-39 unategemea aweje? Single maza mnazoimba ni za tuvijana tudogo akili haijapevuka ila kwa watu wazima hakuna shida yoyote na ndiyo maana kwa watu walioendelea your pasts has nothing to do with your current akikupenda amekupenda hata uwe na watoto 6 hana uoga wowote na haoni kama ni kikwazo! Ila vijana hawa wa kimasikini kama sie na unakuta pia mama zao single mazaz wamelelewa na baba hawana idadi, dada zao single mazaz, ila nao mitandaoni wamo humu kuwaponda single maza! ShameMkuu huku utaambulia masingo maza
Na akati behind ze scene ndo mama zao huko afu mitandaoni kutwa kupondea single maza kwa vile hatuwajui na akati mama zao wasimbe tuIla wapambe nuksi bhana.....
Kwani singo maza sio mwanamke?
We ni mzee acha, kasubiri kule makurumbembe tuje tukunyooshe tu😂Kumbe 41 ni kijana kabisa? Kweli uzee umeisha!
Really shame 🥲Na ndiyo maana akasema mengine yote ni sawa, yeye ako 41, anamtaka mwanamke 30-39 unategemea aweje? Single maza mnazoimba ni za tuvijana tudogo akili haijapevuka ila kwa watu wazima hakuna shida yoyote na ndiyo maana kwa watu walioendelea your pasts has nothing to do with your current akikupenda amekupenda hata uwe na watoto 6 hana uoga wowote na haoni kama ni kikwazo! Ila vijana hawa wa kimasikini kama sie na unakuta pia mama zao single mazaz wamelelewa na baba hawana idadi, dada zao single mazaz, ila nao mitandaoni wamo humu kuwaponda single maza! Shame
So unataka mwanaume wa miaka 41 akaoe mwanamke wa miaka 19?Miaka 39.! Huku kwetu huo umri ni wa Bibi
Yaani mwanamke 19 lishazaa na ana binti wa miaka 20 na mjukuu wa miaka 2
So mwamba ni suala la muda tu la kujikuta kijana na 41 yako utaitwa Babumtoto
Watoto wa kiume humu wote wanajitia kuponda single mazaz, ila ukifuatilia ukweli wao utakuta wako 5 kwa mama zao na kila mmoja ana baba akeReally shame 🥲
Wengi tu humu kila mtoto na baba yake kwa mama zao ila ndio kujifanya wasafi kuliko wote! Sasa hivi hawa malaya wasio zaa wana thamani kupita singo maza..Watoto wa kiume humu wote wanajitia kuponda single mazaz, ila ukifuatilia ukweli wao utakuta wako 5 kwa mama zao na kila mmoja ana baba ake
Sasa mimi mwenywe Ngalangala nichukue mkokoteni wa kazi gani.!So unataka mwanaume wa miaka 41 akaoe mwanamke wa miaka 19?
Mi nawapenda aina yako, ukianza kuzekaa ndio kanazibuka, unanyooshwa kipindi hujiwezi unaanza kutoa milio, unazikwa asubuhi sana!
I wish i waere 19 nikunyooshe ngalangala!🤸🏽♀️Sasa mimi mwenywe Ngalangala nichukue mkokoteni wa kazi gani.!
Nataka kibinti cha kunirusha roho ili mapigo ya moyo yadunde upya kama zamani
Nchedi... Wapata?Vip ja hako chedi