Natafuta mwenza

Natafuta mwenza

kaka kloro goldeni chansi neva kam twais
tangu jana nina ma zali kweli yaani. lazima niondoke na ka threesome mwisho wa wiki hii. heheh hapa kijijini nina hakika wataniloga. washenz wakiona umekuja na demu kapaka lipustik tu basi inakuwa balaa. khaaa! baadae kamanda bana kabla waifu hajadai divorce.
 
Sasaa bili tunalipa..nyumba tunajenga..ada za watoto tunalipa..fimilia tunasaidia..tukianza na kutongoza nyie mtabaki na nini?
Kwani Lizzy ni male au femal naona picha yake na maelezo haviendani, samahani, am just curious.
 
hapo hamna kuimbishwa bana. ni amri tu . bosi klorokwini akisema leo ukuje kazini bila kufuli inabidi ukubali tu.

Hapo sasa!Kuimbisha huwezi inabidi utumie amri!MKOLONI ndani ya nyumba!
 
Wanajamvi natafuta mwenza, me ni mama wa mtoto mmoja. Kutokana na sababu zisizozuilika nimetengana na mwenzangu. Nimekuwa mpweke kwa muda. Naomba msinibeze . Nawasilisha.

du utanifaa sana ebu ni pm
 
We na yeye mbona mpo kwenye daladala moja!Domo zege + ukoloni!

images
 
Wanajamvi natafuta mwenza, me ni mama wa mtoto mmoja. Kutokana na sababu zisizozuilika nimetengana na mwenzangu. Nimekuwa mpweke kwa muda. Naomba msinibeze . Nawasilisha.
Mimi ni agent wa hiyo biashara, ukiwa tayari nitakutumia form ya kujaza details zako, ili niweze kujua partner anayekufaa, itakugarimu fee kidogo, kama uko tayari nijulishe kwa kuni PM.
 
Back
Top Bottom