BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Duh!! makalio tena?? Ila kuna ambao wajihi wao unamvuto kama wa kibantu. Wewe nenda Chennai au Kerala utapata wapo wa kumwaga na wanye wajihi wa kibantu.
Na huko haitakuwa kazi kupata mademu ho wa kihindi
Mbu..
Na Shabani je? ha ha
...binti wa kihindi sura na nywele ni matata sema wamepigwa pasi takatifu makalio/flat skrini,...
Jamani mie natafuta demu wa kihindi, hivi ni gia gani nitatumia kuwaningia naona huko juu watu leo ni ufisadi,mafisadi wa kihindi tuuuuu!!
mie nimeona vyema nitafute demu wa kihindi nijipooze na sory za baba zao mafisadi.
Prett na wengineo nipeni tactics za kuwaingia mademu wa kihindi kwani ni wazuri balaa umpate mwenye jicho la kulegea hata mechi utauza, kiuno balaa, nitatumia njia gani???
Hajasema anataka kuoa. He probably just wants to hit it and quit...
Na inategemea yuko wapi....huku wapo wengi walio-adopt mila za Kimagharibi na hawa-mind interracial dating...
Mbu..
Na Shabani je? ha ha
Mtafuta Mhindi!
Mabinti wa kihindi sura na nywele ni matata sema wamepigwa pasi takatifu makalio/flat skrini,kuhusu kupenda na mengineyo sijui ila wanapenda kuchukuana wenyewe kwa wenyewe.
Wakati nasoma SRSS kuna kijana mmoja alikuwa anamchukua binti wa kihindi, ilikuwa ni stori kila mahali kwa sababu ya mixture yao.
Kwahiyo kama una nia utapata tu binti wa kihindi ujivinjari nae!..
Ongea na mfanyakazi wao wa ndani atakuunganishia vizuri tu sema ndio hivyo uwe mvumilivu maana unaweza kuimbisha ata mwaka.
Umenikumbusha mbali mheshimiwa, enzi natoka na demu wa kiarabu anayeishi kariakoo...damn yani kicheko tuu..funny enough demu aliolewa wakati tuko secondary...life goes on..anywho kwa mwenye mada kama kweli unamtaka demu wa kihindi au kiarabu wanapatikana kama mademu wa race nyingine yoyote as long as you have the same interests and the patience to deal with what may come.
Duh Kariakoo mitaa ya wapi? Mie kuna totoz moja nilipewa tips na mfanyakazi wao wa ndani sema ndio hivyo ilichukua muda mpaka mtoto wa kike akaelewa somo. Kitu kingine wahindi na waarabu hali yako ya maisha ikiwa nzuri kuliko wao watakuheshimu.
Yeah true,
i really cant remember the name of the street, ilikuwa karibu sana na ile junction ya pale jengo la vijana palipo hakielimu..alikuwa mtoto wa mfanyabiasha mmoja tajiri mwenye mabasi dar, mombasa na tanga. Mabasi mengine madogo alikodisha international school moja ambayo wanae walikuwa wanasoma ndo kijana nikajitoa mhanga kuimbisha kwenye school bus..hahahahaha
Mazee unazungumzia Lumumba na Morogoro RD ukipanda kwa juu kama unaelekea Fire/Muhimbili/Jangwani unakutana na Livingstone? Mitaa ile nilikuwa nikipita basi nakwenda Jangwani/Zanaki/Mzizima.
Anywways huyu muungwana namtakia mafanikio mema kwenye mission yake.
Mwanangu Ngoma nzito malizana nao, nami pia nina hasira nao kinoma, anyway ukifanikisha nielekeze mbinu nami nifanye mambo ila currently nami nimetega kuna kimeo cha kidosi kimechoka kidogo so ndo nakilia timing.
Target ni kuhit kisha nduki hakuna kucheki nyuma mara za kumwaga wala nini.
Peace,
Killuminati
Yeah true,
i really cant remember the name of the street, ilikuwa karibu sana na ile junction ya pale jengo la vijana palipo hakielimu..alikuwa mtoto wa mfanyabiasha mmoja tajiri mwenye mabasi dar, mombasa na tanga. Mabasi mengine madogo alikodisha international school moja ambayo wanae walikuwa wanasoma ndo kijana nikajitoa mhanga kuimbisha kwenye school bus..hahahahaha
Mazee unazungumzia Lumumba na Morogoro RD ukipanda kwa juu kama unaelekea Fire/Muhimbili/Jangwani unakutana na Livingstone? Mitaa ile nilikuwa nikipita basi nakwenda Jangwani/Zanaki/Mzizima.
Anywways huyu muungwana namtakia mafanikio mema kwenye mission yake.
yeah round that area ukipandisha juu unakwenda fire..walikwa na gorofa pale maeneo yale...huyu muungwana kama anania atapata tuu coz wabongo kibao wamemega wahindi na waarabu sio kitu kigeni sema haifiki kwenye ndoa coz hali halisi tunaielewa.
Bishanga mbona $200 US ni nyingi? mi hata $50 sitoi kwa demu wa kihindi,wako baridi(frigid) na mimaji kibao,take it from me a former muhuni.
sasa Uporoto wenzio mbona unawaharibia apetaiti?Bishanga mbona $200 US ni nyingi? mi hata $50 sitoi kwa demu wa kihindi,wako baridi(frigid) na mimaji kibao,take it from me a former muhuni.
......dah, ...hata sijui nisemeje hapa, lakini binafsi nimekwazika na hilo neno, uwe unalegeza kidogo mkuu 🙁