ngoma ya ukae
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 611
- 618
Kwa kuwa umetuarika na sisi wenye comments za kejeli acha mimi nianze hivi, mwanamke siku zote ni sura mengine tutarekebishana. ..wewe vipi una mvuto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mambo ya kawaida na wapo wengi tu wa hivyo na wengine wameishia mtoto mmoja tu,dada yangu ww unatania alafu isitoshe wewe hajazaa.ujana wako ilikuwaje?
Miaka tu???? urefu na uzito pia watataka kujua wapatie,,,kila la heriMimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.
Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.
Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.
Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.
Asanteni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka mpaka watu wananishangaaKwa kweli wewe ni chuma cha reli!![emoji53][emoji53][emoji53]
funguka zaidiMimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.
Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.
Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.
Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.
Asanteni.
ImpotenceNimwanaume yupi miaka 40 ambaye bado hana mke
Mbona akima lemutuz wapo?Nimwanaume yupi miaka 40 ambaye bado hana mke
Jaman sio vizuri hahahaUtaweza kugegedana kweli maana nawasiwasi na hicho kiuno kama kinastamina.hujawahi kuzaa kwani bikira bado ipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah.... 40yrs.... Gem itachezeka kweli? [emoji13] [emoji13]