Natafuta rafiki mwanaume

Natafuta rafiki mwanaume

Kwa kuwa umetuarika na sisi wenye comments za kejeli acha mimi nianze hivi, mwanamke siku zote ni sura mengine tutarekebishana. ..wewe vipi una mvuto?
 
dada yangu ww unatania alafu isitoshe wewe hajazaa.ujana wako ilikuwaje?
Hayo ni mambo ya kawaida na wapo wengi tu wa hivyo na wengine wameishia mtoto mmoja tu,
Ngoja kwanza ukue acha kuparamia mambo.
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.

Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.

Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.

Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.

Asanteni.
Miaka tu???? urefu na uzito pia watataka kujua wapatie,,,kila la heri
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.

Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.

Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.

Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.

Asanteni.
funguka zaidi
 
beathahenry,

Mimi sitimizi kigezo kimoja kwa maana hiyo sitakidhi mahitaji yako. Hata hivyo
naamini wewe ni mwanamke makini, hivyo si vibaya tukifahamiana na kubadilishana
mawazo.
 
Mtafute uliyekula naye ujana wako mje kumalizia uzee pamoja
 
Back
Top Bottom