Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

Creeper simple definition "a person who acts inappropreate way"
 
Kwa ufupi wako huo huwezi kupata mwanamke unayemtaka.
 
Huyo utampata ukiwa umekufwa.
Piga puchu tu na michicha,tembele
 
Huli nyama kwanini uoni umejikosesha raha Duniani utamu wa nyama ule imagine
 
Ungefafanua asile nyama ipi???
 
Huu uzi bila ya picha ya wewe ukikataa nyama ni batili
 
Pengine Mimi ndio sielewe; hivi kwenye issue sensitive sana kama hii, kipi kinatangulia?; kanuni, sheria, taratibu, miongozo au UPENDO (fall on love). Tena unasema RAFIKI NINAYEMTAKA. Brother, pole sana sana. Kupata mwenza sio kama unakwenda kununua bidhaa Kariakoo, kwamba nataka simu yenye specs hizi na hizi, hapana, things come naturally. Sawa sisemi kuwa husiwe na attributes zako usipendazo, ila don't be too rigid.
 
RAFIKI……ASIEKULA NYAMA


Yaan hadi marafiki mnachagua
 
Wabongo maneno mengi,mtu kasema anataka mwanamke asiyekula nyama,sasa kama wewe una Uchu si pita mbali tu.
 
Naona mtoa maada anashambuliwa bila sababu, yupo sahihi kutokana na itikadi yake. Hua Kuna vegeterean hawatumii nyama Ila products zake wanazitumia ikiwemo na samaki afu Kuna vegan ambao hawatumii any kind of meat mpaka products zake. Pia kuhusisha ubahili na hizo itikadi mnafail kwa sababu sometimes vyakula vinavyoreplace nutrients zilizopo kwenye nyama ni ghali zaidi. Mwacheni mkuu apate wa kufanana nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…