Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Siwezi kukupa hiyo chance
Sababu siwezi kata kiu yako
Na hii inafanya kwa watu wengi ambao nakutana nao wanione kama nina dharauUtakuwa na grounds za science, ama haukuwa exposed kwa wanawake at early ages!
Lakini kama kweli vileUsiwaonee huruma maana wanafanya hiyo ngono kwa kuamua.
Mimi mwenyewe nimefurahi sana kuonana na wewe hapa nika nimeona chemichemi jangwani(sio jangwani ya wanayanga[emoji23])Powa aiseee nitakupa location yaani nimepata relief, kama kuwa sehemu ya mbali then ghafla unakutana na ndugu yako [emoji4]
Uko kama mimi[emoji1751]Na hii inafanya kwa watu wengi ambao nakutana nao wanione kama nina dharau
[emoji23][emoji23] lakini nini?I would love that, maana mara chache Natamanigi kuwa m social lakini daaah [emoji28]
Usiseme kama mimi ndiyo ukawa hata salamu hutoi wala kuitikia. Si vizuriUko kama mimi[emoji1751]
Najiona kama nitamboa mtu mwingine[emoji23][emoji23] lakini nini?
Yeah ni Basic need under ceteris paribusMnasemaaa? Ati ni basic need?[emoji848] Kivipi?
njoo pmNatafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara
Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke
Kua binadamu mwenzangu haimaniishi naweza kata kiu yakoWew ni binadam kama mim inakuwaje ushindwe kukata kiu yangu ilihal mi ni binadam mwenzako jaman...!!
Mengine tutafundishana na kujuzana tukiwa Deping loveKua binadamu mwenzangu haimaniishi naweza kata kiu yako
mkuu😂😂utakuwa hujaelewa tangazo nini?29 anayependa kuchat ? Hayupo
Basic need baada ya kula, malazi, mavazi, gari kisha papuchi! Tunaihitaji maana familia si ndio chanzo chake kipo hapo!Mnasemaaa? Ati ni basic need?[emoji848] Kivipi?
Vipi kuhusu chakula cha Taifa je itakuwa added advantage au?maana kukutoa upweke kuna principle zakeNatafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara
Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke