Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Powa aiseee nitakupa location yaani nimepata relief, kama kuwa sehemu ya mbali then ghafla unakutana na ndugu yako [emoji4]
Mimi mwenyewe nimefurahi sana kuonana na wewe hapa nika nimeona chemichemi jangwani(sio jangwani ya wanayanga[emoji23])
Nasubiria maelekezo yako ya kwenda kushangilia ushindi wetu
 
Old member...new ID


Yani mtu hana hata week 3 JF kashashusha nyuzi 3 za kuhusu wanaume.
 
Yan umeona watanzania hawana kazi za kufanya kias cha kutoa watu upweke tu??
 
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara

Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke
Vipi kuhusu chakula cha Taifa je itakuwa added advantage au?maana kukutoa upweke kuna principle zake
 
Back
Top Bottom