Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Iba kuku, upelekwe selo...

Hakika utakuwa umepata mahali pa kuishi siku mbili tatu...

Baadaye unapatana na uliyemwibia, kesi ya kuku haifiki kwa pilato unachwa huru...
Natafuta rafiki ambae ntawaza kufikia kwake awe anaishi dar ntakaa Kama wiki1 ama mbili ntakua Nisha pata makazi ya kuishi
 
Iba kuku, upelekwe selo...

Hakika utakuwa umepata mahali pa kuishi siku mbili tatu...

Baadaye unapatana na uliyemwibia, kesi ya kuku haifiki kwa pilato unachwa huru...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iba kuku, upelekwe selo...

Hakika utakuwa umepata mahali pa kuishi siku mbili tatu...

Baadaye unapatana na uliyemwibia, kesi ya kuku haifiki kwa pilato unachwa huru...
We mpuuzi umeniacha hoi sana!
Ahahaha thanks, you made my day....

natafutakazi ushauri ndio huo hapo, sasa kazi kwako mama.
 
Have you been to more than 10 countries in the world?? If you can prove that then we can speak the same language I know
I've been to States, Brunei, Guyana, Pantanal- Brazil, Rwanda, Mayotte, Barbados, Beirut, Rotterdam, Cyprus, Islamabad, Peshawar, I'm tired writing them
 
Back
Top Bottom