natafutakazi
Member
- Sep 16, 2019
- 26
- 12
NdioUmeshapata kazi kwanza?
Aaahh sawa sawa .. Una hakika kwa wiki moja-mbil utakua unakwako?Iringa
NdioAaahh sawa sawa .. Una hakika kwa wiki moja-mbil utakua unakwako?
Natafuta rafiki ambae ntawaza kufikia kwake awe anaishi dar ntakaa Kama wiki1 ama mbili ntakua Nisha pata makazi ya kuishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iba kuku, upelekwe selo...
Hakika utakuwa umepata mahali pa kuishi siku mbili tatu...
Baadaye unapatana na uliyemwibia, kesi ya kuku haifiki kwa pilato unachwa huru...
Fikia kwangu pliz,ni me au ke?Natafuta rafiki ambae ntawaza kufikia kwake awe anaishi dar ntakaa Kama wiki1 ama mbili ntakua Nisha pata makazi ya kuishi
We mpuuzi umeniacha hoi sana!Iba kuku, upelekwe selo...
Hakika utakuwa umepata mahali pa kuishi siku mbili tatu...
Baadaye unapatana na uliyemwibia, kesi ya kuku haifiki kwa pilato unachwa huru...
ExactlyAre you a traveller?? May be we can share travelling experiences
Have you been to more than 10 countries in the world?? If you can prove that then we can speak the same language I knowExactly
Tafuta ela achana na wanawake.
I've been to States, Brunei, Guyana, Pantanal- Brazil, Rwanda, Mayotte, Barbados, Beirut, Rotterdam, Cyprus, Islamabad, Peshawar, I'm tired writing themHave you been to more than 10 countries in the world?? If you can prove that then we can speak the same language I know
Okaynipo hapa nicheki