Natafuta rafiki wa kike

😲
Mi mbona nimetulia sina makuu!
Kuna sababu zenu hiki ni kisingizio..

Hivyo kama hatujatulia kwenye 20 unafikiri kwenye 30 ndo tutatulia..? Au mmesahau usemi jasiri haachi asili😜
Unataka kusema Filbert Bayi bado anaweza kutimka mibio kama enzi zileeee?
 
Unataka kusema Filbert Bayi bado anaweza kutimka mibio kama enzi zileeee?
Anaweza asiweze kutimka ila ile energy ya mbio ikawa imehamia ktk kiungo chengine 😜
 
watu wa kijijini matombo hatujatendewa haki hapa, mleta uzi umetunyanyapaa😊
 
Nilichogundua wenye miaka 20+ hatuna soko kwa wasaka wachumba, wacha tusubiri umri uongezeke. Noma sana! Mkuu monde arabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…