KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
🤣🤣 Mkuu sahivi kuna wakubwa zaidi yako washambeba sisi tusubiri wa darasa la saba huko..Nikiwa mkubwa nataka uwe mchumba wangu![emoji4][emoji4][emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 Mkuu sahivi kuna wakubwa zaidi yako washambeba sisi tusubiri wa darasa la saba huko..Nikiwa mkubwa nataka uwe mchumba wangu![emoji4][emoji4][emoji4]
😞😞Wengi wenu akili bado hazijatulia
sio kwamba 20's hawapo financially stable as wengi wanaishi kwao??Wengi wenu akili bado hazijatulia
Unataka kusema Filbert Bayi bado anaweza kutimka mibio kama enzi zileeee?😲
Mi mbona nimetulia sina makuu!
Kuna sababu zenu hiki ni kisingizio..
Hivyo kama hatujatulia kwenye 20 unafikiri kwenye 30 ndo tutatulia..? Au mmesahau usemi jasiri haachi asili😜
Anaweza asiweze kutimka ila ile energy ya mbio ikawa imehamia ktk kiungo chengine 😜Unataka kusema Filbert Bayi bado anaweza kutimka mibio kama enzi zileeee?
angalau ungeandika KORONA sasa jomba nchumaliHuu ubaguzi dhidi wa wanaume wa Mkoani sjui utaisha lini.
wanaume wenyewe wa Dar sahivi Wengi wao wana KOLONA
Shauri yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo umesema wewesio kwamba 20's hawapo financially stable as wengi wanaishi kwao??
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu kwangu age 33Ni binti mrembo kweli kama hiyo I'd yako?, all the best ukipata wengi nipasie na mimi hata 1 tu
Ooh thank you mkuu, ila inabidi mleta uzi apate kwanza wakimtosha ndiyo atupasie na sisi, ngoja nimuulize kama keshapata nijipatie na mimi.