Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

swali hela unayo?,kama ipo utawapata,kama huna hutawapata kama ulivyowakosa huko mtaani kwako
 
me namtafuta mwembamb kama moja!mpenda ela muuza baa au asiwe!elimu kawaid co nimeona nidil na hao maan nahs watakuw weng naona weng chura xaxa nimfany utafti nchuchue kangaroo me!
 
toleo hlo lishachuliwa wote labd usubr 2wek oda wajijazie tena 2waingze apa ufany ukaguz!pol
 
swali hela unayo?,kama ipo utawapata,kama huna hutawapata kama ulivyowakosa huko mtaani kwako
Kwa nini fedha inawekwa mbele? Nijuavyo hakuna asiye taka fedha ila mahitaji ya fedha kupindukia katika mahusiano hayo siyo mapenzi, ni biashara…. Jephta2003
 
Rejea title tajwa natafuta rafiki wa kike mwenye umri chini ya miaka 25.

Sifa Mahususi.

1. Awe mwenye kujielewa na kupenda kusoma, kusali na mwenye hofu ya Mungu sawa na mimi nilivo.

2. Awe tiyali kupata attention ya kutosha kutoka kwangu (Namanisha awe mpend kutoa taarifa na kuwasiliana mara kwa mara ikiwezekana mpenda kuchati, ,Mchangamfu, Humble sawa na mimi nilivo)

3. Awe na goals sio kuja kukaa na mimi kwa sekunde mbili na kuondoka.

4. Akiwa dar itapendeza.

Karibu PM yangu kwa mawasiliano zaidi.
Chini ya miaka 25
Mnaitwa huku

Mkuje.
 
  • Thanks
Reactions: WPM
me namtafuta mwembamb kama moja!mpenda ela muuza baa au asiwe!elimu kawaid co nimeona nidil na hao maan nahs watakuw weng naona weng chura xaxa nimfany utafti nchuchue kangaroo me!
John mtulivu, lakini mbona kama umeandika bila utulivu hivi, sijakuelewa kabisa, please come again huenda ukawa bahati yangu huhuu
 
hvi mbna me nawakubalig sana mamicc lady kingine tanzania hii naona haina ushindani co ndo maana nawafaidiaga sana aicee. kule botswana kama una chura uolewi utabaki kuitwa dada nyumbni mpaka ufike!
 
Back
Top Bottom