Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

H
kwani kuna cha zaidi ya hizo salamu na kuulizana umekula, umeshindaje, upo wapi na nani, unafanya nini!!!!!!!

hizo ndio point kuu ktk kuchat muda wote kama mtu upo tu kama mimi, mimi pia napenda kuchat [emoji5][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji38][emoji28][emoji5][emoji3][emoji119][emoji119][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji65][emoji65][emoji65][emoji126][emoji126][emoji126][emoji141][emoji123][emoji106]
Hatari sana yakhe
 
Hapo kwenye umri punguza kidogo ifike japo 22[emoji4] [emoji2] utapata wengi maana hao 29 kuendelea nadhan wanawake tayari sasa itakuwa kazi sana kukutimiza haja yako.
Ukiachilia mbali suala la kuwa na mke watu wanaseka hela. huo umri si wa kuchati. inaonekana huyu ni jobless hana kazi.
 
Hizi tabia sio zetu kabisa bwana wajina...

Anatuaibisha wenye majina hayo
 
Back
Top Bottom