Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Habari zenu wakuu,

Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta rafiki wa kike aliyepo popote wa aina yoyote.

Asizidi 25 miaka
Asiwe mbishi na mwenye hasira maana mimi siwezi kuongea

Umri wangu ni chini ya 26
Aliye tayari anicheki pm

Asanteni kwa mazingatio
 
Back
Top Bottom