Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Am here but with an exchange with papuchi
Jamani natafuta rafiki mwenye sifa zifuatazo
Awe ni muhasibu jinsia yeyote mwenye uzoefu katika kutumia accounting packages
Awe tayari kunifundisha accounting packages pasipo malipo ya Aina yeyote ile!

Plz inbox me if you are willing !
Email yangu ni lucymhasi@yahoo.com
Niko dar Ee salaam kinondoni!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello, Natafuta rafiki wa kike na badae aje kuwa mpenzi wangu na tuweze kujenga malengo badae;Vigezo awe Rangi yeyote sana Sana Mweupe, Elimu Ngazi kuanzia F4 nakuendelea ;
AHSANTE

ALIYE SERIOUS AJE PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wanaokuponda siyo watu sahihi kwako. Akija mtu sahihi kosa la neno moja haliwezi kuwa kubwa kama ambavyo wanataka kutuaminisha humu. Endelea kutafuta mtu sahihi kwako yupo sehemu fulani.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom