Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
See your message.i think we match, i like what you like, PM please!
Sio lengo la Uzi.Mie nipe namba ya Sister hapo niwe rafiki yake.
Mkuu mbna pm hujibu?? Au umemptaaaMimi ni mama wa miaka 33 na nimejaaliwa watoto wawili, niliolewa bahati mbaya ndoa imevunjika kwasababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Sasa nipo nalea wanangu na alhamdulillah najimudu kiasi financially. Ila kama ijulikanavyo huwezi shindana na nature, nikiwa kama mwanamke kuna wakati unamuhitaji mwanaume na siwezi fanya hivyo kwani uzinzi ni dhambi na namuomba Mungu aendelee kuniepusha na hilo.
Hivyo kwa Uzi huu nahitaji marafiki Wa kiume (naprefer kuanzia kwenye urafiki ili kuona compatibility) haswa aliyefiwa na mkewe, au divorced ambaye yeye si sababu ya uvunjifu Wa ndoa yake, au mwenye mtoto/watoto tayari, au yeyote ambaye ni father figure. Umri kuanzia 33 - 45 yrs.
Note: naprefer a responsible family man. If u think u hv the credentials pls pm me, jokes aside pls.
Dahhh....Mkuu mbna pm hujibu?? Au umemptaaa
Wengi tulijitambulisha kwa kuanza na Alhaj.....teh[emoji23][emoji23][emoji23]Mabazaz wakageuka kuwa Juma kutoka John
Wengi tulijitambulisha kwa kuanza na Alhaj.....teh[emoji23][emoji23][emoji23]
Ongea polepole wengine wasi sikie....Mnajulikana na Id zenu za kutongozea
Nimekujibu.Mkuu pm hujibu kulikon????
What's wrong with we Africans?ngoja watakuja duu just a friend je badae mki fall in ....itakuwaje would u take it like for real
OK mkuiNimekujibu.
mwanaume unatafuta rafiki wa kiume ,kun walakini hapa. ngoja tuone