Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Mimi ni msichana wa miaka 20's nina tafuta rafiki wa kiume mwenye miaka 20 -29 asie na mke.
Nipo hapa mchatishaji bora wa mwaka 2018 na mwaka huu nachukua tuzo tena nakuhakikishia huto jutia
 
Zama hizi ni za kutafuta marafiki kweli...??? Hauko serious njoo Samaki Samaki hapa tuyajenge..!!

~~Kitakachokupa ushindi ni juhudi zako~~
 
Back
Top Bottom