Natafuta rafiki wa kike..

Natafuta rafiki wa kike..

Kwenye urafk lazima kuna kuspend money, kwahiyo hapo rafk ataelewa kama ni bia mwisho 3 au 4 tu. tena za buku jero
Waonekana uko smart sana sio vijana wa humor JF kujikweza.
 
Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi.
Umri wangu miaka 26
Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4.
Natafuta rafiki wa kike,
Comment vizuri nikufate PM
Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu.

Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
Umevaa vzr hivyo kama mkurugenzi kumbe unalipwa laki nne.
 
Back
Top Bottom