Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Habari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.
Pole sana ila kuna mdau amekuthaminisha na gari namba “C” za mwanzoni 😅😅😅 yani CAB, CBE, CCM imebidi nicheke yani! 😂😂😂😂😅😅😅😅😅
 
Habari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.

Anzeni tu kutongoza , mnafeli wapi ?
 
Habari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.
Shida yako huna response katika mawasiliano

Hutaki kujibu chochote kuhusu wewe

Sasa mtu atakuliwazaje?

Pia una ubabe sana sass ni mwanaume gani atawezana
 
Habari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.
Njoo hapa
 
Back
Top Bottom