Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Habari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.
Kila la heri bi dada. Ila anza shughulikia namna ya kujipa furaha na kukabiliana na upweke wako. Upweke unatesa kila binadamu awe mwanaume au mwanamke ila wanawake wanateswa zaidi kuliko viumbe wengine na huo ugonjwa wa UPWEKE.
Kwa neema ya MUNGU utapata hitaji lako.
 
Back
Top Bottom