Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
Ha ha haHabari? Sina rafiki ambaye Yuko Londoni. Uwe unanisimulia mambo ya hukoπ¬
Unanionia wivu na rafiki yangu mpya wa London π¬Ha ha ha
Kwa kweliHabari? Sina rafiki ambaye Yuko Londoni. Uwe unanisimulia mambo ya hukoπ¬
Vipi Kuna shida ya maji huko London? Bongo hatujaoga siku mbili.Kwa kweli
Hivi Demi anajua kuwa mpo kuitana huko?Karibu hapa kwangu Shaftesbury Avenue ule mpaka ushibe.
Zanzibar2014
Kibuti kinakuhusu....amepata wa London mwenzio anamkaribisha kula supu The Icebreaker π
The Icebreaker hanipendiπͺπͺKibuti kinakuhusu....amepata wa London mwenzio anamkaribisha kula supu The Icebreaker π
kololaThe Icebreaker hanipendiπͺπͺ
Ngoja nitafute mwingine...ntafutie basiii
Bas National Anthemkolola hapana jamani π π π
Ananionaga sina akili
Sio kweli bhana,hakuna kama wewe,u are so special and no one can replace ur position to me.The Icebreaker hanipendiπͺπͺ
Ngoja nitafute mwingine...ntafutie basiii
Ha ha ha,taratibuuu...ngoja Dawa ikukoleeHuu uchonganishi umeuanza lini?
π π
Aisee ππππ