Natafuta restaurant ya Kiswahili, London

Natafuta restaurant ya Kiswahili, London

Eti the Icebreaker, Watanzania wa huku tuliko London wanatukana pia kama wa hapa kwenye hii JF??

Simaanishi hapa watu wote wanatukana kwenye hii JF lakini baadhi yao na wala simaanishi Watanzania wote wa huku London wanatukana kwa sababu wewe ni very polite.

Bali nataka kufahamu kama hii ni tabia ya baadhi ya Watanzania wa huku London na huko nyumbani pia??

Samahani kuuliza hili, hebu nijuze plz kwa sababu mimi huku niliko siko na watu wa nyumbani kwa hiyo mpaka sasa, I am still confused!!

Tatizo ni mimi kutafuta mume hapa au tabia/tamaduni zetu ni tofauti na labda tunapishana lugha pia.

Kama tatizo mimi kutafuta mume hapa,
sasa hapa haparuhusiwi kwani kutafuta mke/mume??

Kwa hiyo nimefanya kosa, nijuze tafadhali, nitashukuru mnoo. 🙏🙏
 
Back
Top Bottom