Machine yake inaitwa gramophone ndugu, unaiona hapo kwenye picha? Mie natafuta hizo santuri. Machine zake ziko nyingi sana na katika pita pita zangu nimezikuta sana mkoani Kilimanjaro shida kubwa ni kupata pin zake. Pin zake zinawahi kuchoka. Unaweza piga nyimbo moja tu pin ikafeli huo ndo mtihani mkubwa. Ila kuna wadau wanazisakanya Kenya. Kwa yeyote anayetaka pin unaweza mcheki huyu mzee wa Kimakonde yuko gerezani k/koo anazo 0713 848682 (anajulikana kwa jina maarufu BONGE).halafu unazipigia kwenye nini sasa wakati redio zake hakuna?
Ndugu hii ni ya kuendesha kwa mkono au inatumia umeme?Machine yake inaitwa gramophone ndugu, unaiona hapo kwenye picha? Mie natafuta hizo santuri. Machine zake ziko nyingi sana na katika pita pita zangu nimezikuta sana mkoani Kilimanjaro shida kubwa ni kupata pin zake. Pin zake zinawahi kuchoka. Unaweza piga nyimbo moja tu pin ikafeli huo ndo mtihani mkubwa. Ila kuna wadau wanazisakanya Kenya. Kwa yeyote anayetaka pin unaweza mcheki huyu mzee wa Kimakonde yuko gerezani k/koo anazo 0713 848682 (anajulikana kwa jina maarufu BONGE).
View attachment 1846132
Umeharibu mie ningekupa hela kwa kuzitunza tu. Unajua wengi huwa wanazitupa hawana kazi nazo kabisa. So sadDuuuh mkuu nilikuwa nazo nyingi Sana pamoja na limaashine lake lilikuwa kubwa Kama kabati panya walikuwa wamelishambulia mwezi uliopita nikalichoma moto pamoja na santuri zake zaidi ya 200 yaani ningekupa bure kabisa.
Duuuh nimekosa pesa mchaga mieUmeharibu mie ningekupa hela kwa kuzitunza tu. Unajua wengi huwa wanazitupa hawana kazi nazo kabisa. So sad
Kikubwa kwenye uandishi huwa tunaandika vitabu vya historia ya wasaniiAisee mbona kama unajichosha sana kutafuta hayo masanturi ya zamani! Hizo nyimbo za zamani baada ya kuzipata unazifanyia nini?
Au una kipindi cha redio unakiendesha?
Za kisasa wanauzaje?Za umeme ni za kisasa zimetolewa miaka ya karibuni. Ila hizi ni za zamani kabisa lazima uzungushe kama pedal kwannza.
Aisee ndugu yangu mie nazijua kushinda unavyojua weweUnakusanya kitu usichojua! Hizo sio CD! Ni LP (vinyl)
LP ni za karibuni hapa, mie natafuta zile za udongo sijui kama ulizikuta. Nadhan ziliishia mwanzoni wa miaka 70. Ndio zikaja hizo LP zinakuwa album. Ila zile za santuri inakaa nyimbo moja tu one sideumenikumbusha Lp ya Sam Mangwana- maria tebola