Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua kwanza CD audio 700mb recordable.Mimi kila nikiburn cd hazipigi kwenye gari yangu sijui nakosea wapi
Mkuu, nitapata wapi hiyo player (santuri) kwa bei gani ?Habari.
Nanunua masanturi kama unayo naomba uniuzie, na kwa wasiojua santuri ni CD kubwa za kizamani. Nanyonya mziki kwenye hizo santuri nabadilisha kwenye mfumo wa digitali kama unazo nitafurahi kama utaniuzia kwa shilling elfu 5 kila moja nipigie kwa number 0714829688.
Nashukuru na Mungu akubariki.
View attachment 1845638
View attachment 1845639
View attachment 1845640
View attachment 1845642
Hapa kilimanjaro nitazipata sehemu gani ?Machine yake inaitwa gramophone ndugu, unaiona hapo kwenye picha? Mie natafuta hizo santuri. Machine zake ziko nyingi sana na katika pita pita zangu nimezikuta sana mkoani Kilimanjaro shida kubwa ni kupata pin zake. Pin zake zinawahi kuchoka. Unaweza piga nyimbo moja tu pin ikafeli huo ndo mtihani mkubwa. Ila kuna wadau wanazisakanya Kenya. Kwa yeyote anayetaka pin unaweza mcheki huyu mzee wa Kimakonde yuko gerezani k/koo anazo 0713 848682 (anajulikana kwa jina maarufu BONGE).
View attachment 1846132
Wazee wanakuwa nazo majumbani ukipita au kuuliza unazipata. Huku Dar kuna jamaa anaziuza elfu 50 mpaka laki yuko posta anaitwa Gama. Kama unazihitaji nicheki nikuunganishe naeMkuu, nitapata wapi hiyo player (santuri) kwa bei gani ?
Shukrani sanaNunua kwanza CD audio 700mb recordable.
Kwasasa adimu sana zilizopo famba
Kisha burn Kwa mtindo wa CD audio
Itafanya vizuri ukiburn na nero version 6
Mkuu Sijakuelewa, unataka Santuri for kama collectors item ili usitunze kama kumbukumbu au unachotaka ni ili miziki ya kizamani ili uipate ?Habari.
Nanunua masanturi kama unayo naomba uniuzie, na kwa wasiojua santuri ni CD kubwa za kizamani. Nanyonya mziki kwenye hizo santuri nabadilisha kwenye mfumo wa digitali kama unazo nitafurahi kama utaniuzia kwa shilling elfu 5 kila moja nipigie kwa number 0714829688.
Nashukuru na Mungu akubariki.
InakuajeMkuu Sijakuelewa, unataka Santuri for kama collectors item ili usitunze kama kumbukumbu au unachotaka ni ili miziki ya kizamani ili uipate ?
Sababu kama ni miziki ya zamani kwanini usitafute miziki ya zamani direct ?, jaribu kutembelea watu kama RTD/TBC nadhani watakuwa na maktaba kubwa sana.
Santur ninazo unataka ngapi31st October 2021
Niko hapa bado nahitaji santuri kwa wenye nazo fursa iko wazi. Asanteni sana. .
Sina za kiarabu zipo za ulayaZile ndogo huitwa player hizo hapana
Nataka santuri kama unazo please nitumie picha watsapp 0714829688 nizihakiki
Nitazichukua zote kama ziko well preserved