Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua kama hii ya kwako ni player or santuri. Hebu nionyeshe hiyo santuri kwa mbele nijueMkuuu vitu adimu hivi, hatuuuzi tunaumbushia enzi
Nanunua moja elfu 5
Ila sasa inabidi nikuelekez ziko za aina nyingi ila nazotafuta mie ni gramophone
Mcheki jamaa anaitwa ngosho innovate instagramSijajua kama hii ya kwako ni player or santuri. Hebu nionyeshe hiyo santuri kwa mbele nijue
Ila sidhani kama hii ndo natafuta
Nimenunua nyingi kama ukiwa na hiyo nayotafuta hata kama huuzi yako nitakupa hata nyimbo chache uwe unasikilizia kama zawadi
Nimekukubali kweli we mkongwe. .
Nilimcheki na aliweza kuja home kunicheki. Alishangaa kuniona nina santuri nyingi sana ila bahati mbaya yeye hakuwa na santuri zinazoeleweka hata kidogo. Hahaha nilifurahi pa anajiita collector ila ana santuri saba tu 😀Mcheki jamaa anaitwa ngosho innovate instagram
Brother hiki kitu umepost hapa imeniliza maana akilini imekuja picha ya zamani sana nikiwa mtoto huku namwona baba nikigeuka huku namwona mama, mara babu au bibi ama mjomba sijui baba mdogo.. Lakini leo hii robo tatu yao wameshatangulia mbele ya haki
Nakumbuka two months ago mama talinambia kuwa miaka mia inayokuja kutakuja watu wapya ambao hawatujui na wala hatuwajui. Kikubwa ni kwamba kama upendo wao unaishi moyoni mwako kuwa na subira iko siku moja mtaonana tena. Na pia uwape familia yako upendo mkubwa ili siku haupo uishi ndani yao. .Brother hiki kitu umepost hapa imeniliza maana akilini imekuja picha ya zamani sana nikiwa mtoto huku namwona baba nikigeuka huku namwona mama, mara babu au bibi ama mjomba sijui baba mdogo.. Lakini leo hii robo tatu yao wameshatangulia mbele ya haki
TIME GOES REALLY FAST