Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mashine inaitwa Vinyl player sio santuri. Santuri ni hizo sahani kwa English zinaitwa Vinyl.Habari
Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu au unajua mahali yalipo naomba unitafute kwa PM. .
Kama unazo hizo santuri utaniuzia karibu PM, sharti ziwe katika ubora unaoweza kutumika. Zisiwe zimevunjika, kumegeka au zimekwaruzika juu ya uso wake kwa kuwa sitaweza kupiga nyimbo zake. .
View attachment 1388894
View attachment 1388895
View attachment 1388896
View attachment 1388897
Me mwenyewe nitaendapale oppsite na JMall zipo zinapatikana duka linaitwa Dar music
Mashine za kuplya hizi kitu huwa zinakuwa na switch ya kubalance speed.https://www.jamiiforums.com/members/twilumba.32936/Jamaa ana 45 rpm wewe unazitaka hizi
Mie nanunua kubwa zake, hizo ulizonionyesha ni players zile ndogo zinaitwa 45 rpm na zimeandikwa hapo ukisoma kwenye picha 45 rpm
Mie natafuta 78 rpm, ambazo zinaitwa santuri na sio player. Ongea na jamaa Twilumba kama anazihitaji. Nitakutumia number za simu za watu wanaofatiliaga hizo kama atataka mtauziana.
Gramophone ni aina ya player sema inakuwa ya zamani a zote zinafanya shughuli moja. Mimi ninayo moja hapa ni ya mzee Philips ya miaka ya 1980's.Hizo zote unazozungumzia ni players, zile kuba wengine wanaziita album kipindi hicho, hizo ndogo ni 45 rpm ndo zilipigwa sana miaka ya 80s
Nazotafuta mie ni za miaka ya 20s- late 60s. Baba yako anangeelewa nachokisema. Safari ya mziki Afrika imetoka mbali sana
Utapata zipo.01 February 2022
Bado natafuta santuri. God bless. .
Dah ila watu tunatoka mbali sana.
Kuna kale kasauti wakati ndio unaweka sahani na kuiwasha ukiwa na njaa unasikia sauti kama ya samaki anakaangwa.Mkuuu vitu adimu hivi, hatuuuzi tunaumbushia enzi
Ingia YouTube halafu type "how are vinyl records created" halafu tazama videos zake.Sijui wikuwa wanarekodi kwa teknolojia gani
Hizi hapa.Nazunguka sana mwaka wa kumi na moja huu. Nikizipata nyingi huwa ziko badly stired. Kwenye uhifadhi watu walifeli sana. .
Nadhani unatumia mashine ya zamani. Yangu ina adjust speed kwa sahani kubwa na kwa sahani ndogo.Hizi nazoziona kwenye picha ni 45 RPM unaona nyingine zimeandikwa 45 RPM. Una aina hii moja tu?
Aaaaah we unataka za speed ya 78rpm kumbe?! player yako kwani hairekebishi speed?Hizi nazoziona kwenye picha ni 45 RPM unaona nyingine zimeandikwa 45 RPM. Una aina hii moja tu?
Watu hawajui kuheshimu vitu vya enzi. Hii mashine na hizi records mshua alinunua akiwa bado kijana mdogo. Ila leo hii kama unavyoona chombo kipo kinapiga mziki mzuri balaa.Nazunguka sana mwaka wa kumi na moja huu. Nikizipata nyingi huwa ziko badly stired. Kwenye uhifadhi watu walifeli sana. .