Natafuta Santuri (CD kubwa za zamani aina ya Gramophone)

Natafuta Santuri (CD kubwa za zamani aina ya Gramophone)

Gramophone, vinyl player, turntable. Majina tu ila same line. View attachment 2310996
Mi ndo nazijua nakuelekeza wewe
Hivi ni vitu tofauti kabisa, na ukijua utaelewa. .

33 rpm wabongo wengi wanaziita ALBUM Kwa sababu zilikuwa na nyimbo nyingi za Album. Ngoja nipige picha nikutumie pia uone tofauti ya 33, 45 na 78. 78 inakaa nyimbo mbili moja mbele moja nyuma, na material yake yako tofauti na hayo kabisa. .
 
Mie nataka za mwanzo RPM ila sasa kama una 45 nataka za miaka ya 60 tu. Nyingi ambazo nakutana nazo ni za miaka ya 70. Ningenunua hiyo machine yako ila sasa pia nataka nijue ni toleo gani la Phillips. Unajua watu wanatumia ila hawajui kuwa wanaziharibu sahani zake. Unakuta pini imechoka ila mtu anaforce kutumia, sasa kwanza unaangalia upatikanaji wa pini. Nina pini ya phillips ila sijui kama inaingiliana na hiyo machine ngoja niicheki vizuri kama utakuwa unauza nitanunua. .
Labda hizi plates nikuuzie ila mashine bi mkubwa atanimind maana niling'ang'ania anipe nitumie niwe nayo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ya urithi [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila plates zipo za kutosha na huwa zingine sizisikilizi. So naweza kukuzisukuma kwako.
 
Mi ndo najiuza nakuelekeza wewe
Hivi ni vitu tofauti kabisa, na ukijua utaelewa. .

33 rpm wabongo wengi wanaziita ALBUM Kwa sababu zilikuwa na nyimbo nyingi za Album. Ngoja nipige picha nikutumie pia uone tofauti ya 33, 45 na 78. 78 inakaa nyimbo mbili moja mbele moja nyuma, na material yake yako tofauti na hayo kabisa. .
Kubwa zipo za 33 rpm zina nyimbo hadi sita, nane. Kila upande unakuwa na idadi sawa za nyimbo. Ninazo hapa ila zipo kwenye maboksi huko juu ya Dar.
 
Labda hizi plates nikuuzie ila mashine bi mkubwa atanimind maana niling'ang'ania anipe nitumie niwe nayo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ya urithi [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila plates zipo za kutosha na huwa zingine sizisikilizi. So naweza kukuzisukuma kwako.

Nilishawahi kwenda kwa mtu mzee wake akakuta anataka kuziuza tulifukuzwa na nga. Aisee sijswahi kujua kama ninaweza kumshinda hussein bolt kumbe nina mbio za hatari

Mulize mama kama atakubali kuuza, kuchukua kitu bila idhini yake sio sawa. Unaweza shangaa ikakuvunjikia mkononi. Ila sasa hizo sahani zako hazina covers hizi records ziko sensitive bila kava huwa zinakuwa na michubuko ukija zipiga zinakuwa husikii nyimbo zinachenga chenga. .
 
Enzi hizo studio ni hadi uende Nairobi kurekodi live Hakuna mambo ya kuingiza vocal kwenye beat
Hahaha hata bongo zilikuwepo ila Nairobi na South kulikuwa na studio za wazungu, wametoa matoleo mengi sana. .
 
Hii machine inaweza ku convert mziki kwenda katika mfumo wa mp3. Hapa napiga nyimbo ya Fundi Konde mauwa mazuri kampuni Trobadour hii ilikuwa manufactured south Africa. Hapa inapiga mzunguko wa 78 rpm na ndo santuri zenyewe. Hizi nyingine 33 na 45 zilikuwa zinaitwa maplayer au player au album Samcezar
 
Attachments

  • VID-20220801-WA0004.mp4
    10.6 MB
Hapa napiga 45 rpm kwenye machine ya kisasa Goodmans. Hii nyimbo ilikuwa ya Abba inaitwa Fernando. .
 
Attachments

  • VID-20220801-WA0003.mp4
    9.9 MB
Hii santuri ni ndogo kama zako ila speed yake imeandikwa hapo kuwa ni 78 RPM. Ninakutumia ili ujue kuwa hizi zina speed tofauti. .
20220801_144902.jpg
 
Attachments

  • VID-20220801-WA0005.mp4
    10.2 MB
Nilishawahi kwenda kwa mtu mzee wake akakuta anataka kuziuza tulifukuzwa na nga. Aisee sijswahi kujua kama ninaweza kumshinda hussein bolt kumbe nina mbio za hatari

Mulize mama kama atakubali kuuza, kuchukua kitu bila idhini yake sio sawa. Unaweza shangaa ikakuvunjikia mkononi. Ila sasa hizo sahani zako hazina covers hizi records ziko sensitive bila kava huwa zinakuwa na michubuko ukija zipiga zinakuwa husikii nyimbo zinachenga chenga. .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usijali hii me ningeweza kuuza ila unajua tena ni swala la honor tu mzee. Ni kama vile baba yako au mama yako anakupatia saa yake ya mkoloni zile za chain za kutia mfukoni halafu unaiuza au kugawa huwa inakuwa si heshima.

Me vitu vya kupewa huwa natunza ikipita miaka kadhaa aliyekupa akikuta umetunza kitu chake na kinafanya kazi huwa inampa faraja kubwa sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usijali hii me ningeweza kuuza ila unajua tena ni swala la honor tu mzee. Ni kama vile baba yako au mama yako anakupatia saa yake ya mkoloni zile za chain za kutia mfukoni halafu unaiuza au kugawa huwa inakuwa si heshima.

Me vitu vya kupewa huwa natunza ikipita miaka kadhaa aliyekupa akikuta umetunza kitu chake na kinafanya kazi huwa inampa faraja kubwa sana.
Hii ni kweli kabisa, kitu cha kupewa sio vizuri kuuza. Basi jitahidi kuhifadhi nikipata pini nitakuambia ununue. Usiendelee kupiga hizo sahani kwenye hiyo machine hususani ni ya zamani kidogo utaharibui hizo sahani. Pini ninayo moja tu ila nakutana na watu wengi hatutokosa pini yake. .
 
Dah ila aisee wasanii wa zamani walikuwa na uwezo bana. Hebu imagine producer akisema anza inamaana hakuna kukatisha ni hadi songi liishe.
Yes nyimbo inaingizwa nzima nzima kama mmoja kakosea mnarudia nyimbo yote haina editing.
 
Hizi player zamani vijijini zilikuwa zinaendeshwa na daina moo ya baiskeli soo unanyonga baiskeli ndo betri then rekodi player inaplay sauti ni speaker za Ahuja zile kubwa za msikitini inafungwa juu ya mti, usiku vijana mbalimbali toka vijiji mbalimbali ndio disco watu pori kwa pori wanakatiza maporini usiku Wana mapanga na marungu wanakutana na wanyama mfano fisi, chui, simba wanafata mziki kilometa 10 usiku sauti ufika mbali sana. Wanakula mziki usiku kucha alfajiri wanawahi kurudi majumbani kuwahi namba shuleni viboko vinakusubiria saa moja kamili viboko vinakuhusu. Mingi ilikuwa ni miziki ya misibani.
 
Hahaha hata bongo zilikuwepo ila Nairobi na South kulikuwa na studio za wazungu, wametoa matoleo mengi sana. .
Bongo ilikuwa ni RTD redio TANZANIA pia sera ya Nyerere ilikuwa ni lazima nyimbo ziwe edited na basata,matusi yanaimbwa kimafumbo sio siku hizi live hadi mtoto wa tumboni anajua hilo ni tusi.
 
Zamani enzi za wazee wakoloni waliotoka zao vitani ndio walikuja na hizi record player au ukanunue Kenya likuwa ni bora uchezee kitu kingine na sio kugusa hiki kifaa au CD zake utahamu mji, walikuwa wakali Sana wazee wa zamani.
 
Attachments

  • vv228n.png
    vv228n.png
    13.8 KB · Views: 8
  • hqdefault(1).jpg
    hqdefault(1).jpg
    14.4 KB · Views: 8
  • hqdefault.jpg
    hqdefault.jpg
    13.3 KB · Views: 8
Back
Top Bottom