Natafuta Santuri (CD kubwa za zamani aina ya Gramophone)

Natafuta Santuri (CD kubwa za zamani aina ya Gramophone)

Aaaaah we unataka za speed ya 78rpm kumbe?! player yako kwani hairekebishi speed?
Nina machine ya kisasa inapiga 33, 45 na 78 rpm. Ila sasa hizi player zimetengenezwa specific na mzunguko wake. Huwezi piga 45 rpm kwenye 33 au 78. Ila ningependa kuona machine ya player uliyopost picha hazifunguki huku
 
Hivi ukitumia hizi santuri za miaka hii wanazotumia madj kwenye clubs hizi za wasanii wa sasa zinakubali.
 
Ninazo santuri kama elfu something nimenunua over the years. Ila project zangu zinahitaji nipate santuri nyingi sana. Mungu ni mwema sana. .
Dah jamaa kweli ni collector. Sahani 1000+ ni nyingi sana babu. Ntakuja unigawie na mimi ila napenda za waimbaji wa mbele sana sana Jazz, R&B, na hiphop kama unazo.
 
Nazunguka sana mwaka wa kumi na moja huu. Nikizipata nyingi huwa ziko badly stired. Kwenye uhifadhi watu walifeli sana. .
Dah aisee. Ntakusaidia kutafuta. Ila na hiyo player mashine yako inalimit sana kwasababu ukipata mashine inayo adjust speed ndio ingekufaa sana maana itaplay zote kulingana na mahitaji.
 
Hizi nazoziona kwenye picha ni 45 RPM unaona nyingine zimeandikwa 45 RPM. Una aina hii moja tu?
Mmmmmmhmn nadhani zipo na za 33. Maana hii huwa nafanya kuadjust speed na mostly alinunua mshua miaka hiyo so nadhani zipo specific na speed ya 33 na 45.
 
Nina machine ya kisasa inapiga 33, 45 na 78 rpm. Ila sasa hizi player zimetengenezwa specific na mzunguko wake. Huwezi piga 45 rpm kwenye 33 au 78. Ila ningependa kuona machine ya player uliyopost picha hazifunguki huku
Ngoja nitume picha moja moja.
 
Nina machine ya kisasa inapiga 33, 45 na 78 rpm. Ila sasa hizi player zimetengenezwa specific na mzunguko wake. Huwezi piga 45 rpm kwenye 33 au 78. Ila ningependa kuona machine ya player uliyopost picha hazifunguki huku
Hii hapa
IMG_20220801_132820.jpg
 
Dah aisee. Ntakusaidia kutafuta. Ila na hiyo player mashine yako inalimit sana kwasababu ukipata mashine inayo adjust speed ndio ingekufaa sana maana itaplay zote kulingana na mahitaji.
Sijawahi kuona machine in play zote machine yangu ya kisasa ngoja napost pictures hapa. Natumia samsung sassa simu ukichukua video zinakuw na mb kubwa kweli kweli
Machine niliyonayo ina play santuri zote ina adjust speed

Ya kwako ina play hizo 45 rpm and 33 rpm basi, ina maana santuri nilizonaz mie haziwez imba kwenye hizo zako. .
 
Kwann unatafuta za 78 rpm pekee yake sasa kama zote inaweza kuzirun kwenye plate yake?!
 
Mmmmmmhmn nadhani zipo na za 33. Maana hii huwa nafanya kuadjust speed na mostly alinunua mshua miaka hiyo so nadhani zipo specific na speed ya 33 na 45.
Hizi santuri ukisoma mda mwingine inaandikwa speed yake kwenye cover. Santuri ikiandikwa 45 RPM manake ndo mzunguko wake na inatakiwa ili iimbe ipigwe kwenye mzunguko wa 45 RPM. Na nyingine hivyo hivyo 78 RPM inazunguka kwa speed yake na 33 RPM inazunguka kwa speed yake.

Baba yako ana player na sio santuri. Player ni za kisasa kuanzia miaka ya 70 sana sana mpaka tisini hivi. Santuri za gramaphne ambazo mimi ninazo za miaka ya 20s mpakan 60 hivi. Ila nyingi nilizonazo za miaka ya 60s hivi. Nilikuwa na moja ya mwaka 27 nikampa mtu mmoja alikuwa anaihitaji na yeye akanipa ninazohitaji. Tulifanya exchange. .
 
Kwann unatafuta za 78 rpm pekee yake sasa kama zote inaweza kuzirun kwenye plate yake?!
Mie nataka za mwanzo RPM ila sasa kama una 45 nataka za miaka ya 60 tu. Nyingi ambazo nakutana nazo ni za miaka ya 70. Ningenunua hiyo machine yako ila sasa pia nataka nijue ni toleo gani la Phillips. Unajua watu wanatumia ila hawajui kuwa wanaziharibu sahani zake. Unakuta pini imechoka ila mtu anaforce kutumia, sasa kwanza unaangalia upatikanaji wa pini. Nina pini ya phillips ila sijui kama inaingiliana na hiyo machine ngoja niicheki vizuri kama utakuwa unauza nitanunua. .
 
Back
Top Bottom