Habari
Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu au unajua mahali yalipo naomba unitafute kwa PM. .
Kama unazo hizo santuri utaniuzia karibu PM, sharti ziwe katika ubora unaoweza kutumika. Zisiwe zimevunjika, kumegeka au zimekwaruzika juu ya uso wake kwa kuwa sitaweza kupiga nyimbo zake. .
View attachment 1388894
View attachment 1388895
View attachment 1388896
View attachment 1388897