Natafuta Santuri (CD kubwa za zamani aina ya Gramophone)

Gily Gru

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
8,632
Reaction score
23,673
Habari

Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu au unajua mahali yalipo naomba unitafute kwa PM. .

Kama unazo hizo santuri utaniuzia karibu PM, sharti ziwe katika ubora unaoweza kutumika. Zisiwe zimevunjika, kumegeka au zimekwaruzika juu ya uso wake kwa kuwa sitaweza kupiga nyimbo zake. .
1584265217685.jpeg

1584265241353.jpeg

16809671_1273991659336598_830365839_n.jpg

1584265267179.jpeg
 
Aisee mi pia nazitafuta lkn kwa kazi ingine mm yyt kati ya hizo plz zikipatka nijuze mkuu mi nahitaji kama 5 tu zinanitosha

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie ninazo nyng kama elfu 15 hivi
Ila nazosemea mimi ni aina ya Gramophone zile za mwanzo kabisa
Wewe unataka hizo au players mana ziko za aina tatu hivi
 
Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu au unajua mahali yalipo naomba unitafute kwa PM. .

Kama unazo hizo santuri utaniuzia karibu PM, sharti ziwe katika ubora unaoweza kutumika. Zisiwe zimevunjika, kumegeka au zimekwaruzika juu ya uso wake kwa kuwa sitaweza kupiga nyimbo zake. .
View attachment 1388894
View attachment 1388895
View attachment 1388896
View attachment 1388897
Zinapatikana offer yako ngapi?
 
Zinapatikana offer yako ngapi?

Nionyeshe sample yake kwanza, na sijajua ni design nazozitafuta maana ziko za aina tofauti. Nataka za nyimbo za kiafrika tu ziiswe za kizungu
 
Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu au unajua mahali yalipo naomba unitafute kwa PM. .

Kama unazo hizo santuri utaniuzia karibu PM, sharti ziwe katika ubora unaoweza kutumika. Zisiwe zimevunjika, kumegeka au zimekwaruzika juu ya uso wake kwa kuwa sitaweza kupiga nyimbo zake. .
View attachment 1388894
View attachment 1388895
View attachment 1388896
View attachment 1388897
Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu au unajua mahali yalipo naomba unitafute kwa PM. .

Kama unazo hizo santuri utaniuzia karibu PM, sharti ziwe katika ubora unaoweza kutumika. Zisiwe zimevunjika, kumegeka au zimekwaruzika juu ya uso wake kwa kuwa sitaweza kupiga nyimbo zake. .
View attachment 1388894
View attachment 1388895
View attachment 1388896
View attachment 1388897
Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu au unajua mahali yalipo naomba unitafute kwa PM. .

Kama unazo hizo santuri utaniuzia karibu PM, sharti ziwe katika ubora unaoweza kutumika. Zisiwe zimevunjika, kumegeka au zimekwaruzika juu ya uso wake kwa kuwa sitaweza kupiga nyimbo zake. .
View attachment 1388894
View attachment 1388895
View attachment 1388896
View attachment 1388897
Ninazo hizi,nitajie Bei ili nishawishike kukutafutia na nyingine
 
Attachments

  • IMG_20200316_140425_9.jpg
    IMG_20200316_140425_9.jpg
    111.7 KB · Views: 49
  • IMG_20200316_140347_3.jpg
    IMG_20200316_140347_3.jpg
    114.9 KB · Views: 49
Ninazo hizi,nitajie Bei ili nishawishike kukutafutia na nyingine

https://www.jamiiforums.com/members/twilumba.32936/Jamaa ana 45 rpm wewe unazitaka hizi
Mie nanunua kubwa zake, hizo ulizonionyesha ni players zile ndogo zinaitwa 45 rpm na zimeandikwa hapo ukisoma kwenye picha 45 rpm

Mie natafuta 78 rpm, ambazo zinaitwa santuri na sio player. Ongea na jamaa Twilumba kama anazihitaji. Nitakutumia number za simu za watu wanaofatiliaga hizo kama atataka mtauziana.
 
Unazifahamu player or Gramophone?????????????
Baba yangu alikuwa DJ kwenye miaka ya 80. Kilikuwa kifaa chake cha kazi.. Kuna zile santuri ndogo zilikuwa zinaingia wimbo mmoja kila upande na zile kubwa zilikuwa zinaingia nyimbo tatu kila upande.
 
Hizo zote unazozungumzia ni players, zile kuba wengine wanaziita album kipindi hicho, hizo ndogo ni 45 rpm ndo zilipigwa sana miaka ya 80s
Nazotafuta mie ni za miaka ya 20s- late 60s. Baba yako anangeelewa nachokisema. Safari ya mziki Afrika imetoka mbali sana
 
Habari.

Nanunua masanturi kama unayo naomba uniuzie, na kwa wasiojua santuri ni CD kubwa za kizamani. Nanyonya mziki kwenye hizo santuri nabadilisha kwenye mfumo wa digitali kama unazo nitafurahi kama utaniuzia kwa shilling elfu 5 kila moja nipigie kwa number 0714829688.

Nashukuru na Mungu akubariki.

14914576_1163961200339645_184358166_n.jpg

16809633_1273991612669936_862133285_n.jpg

IMG-20170429-WA0018.jpg

818CP+pfXzL._AC_SL1440_.jpg
 
Nataka ziwe African na Arabic tu. Za kizungu nyimbo nyingi sana ziko mtandaoni sizihitaji. Ziwe zimeifadhiwa vyema kwa kuwa zilikuwa za miaka ya 60s kama hazijaifadhiwa vizuri au kumegeka hazitoimba. .

15820224_1224885880913843_180441636_n.jpg
 
Back
Top Bottom