Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe sifa za kunishawishi mlandiziNenda Mlandizi, ipo siku utakuja kunishukuru hapa
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
No other place like CHATO.Habari zenu wakuu
Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU
Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!
Karibuni wadau mtiririke
Karibu Buza PolisiNipo Buza hapa gengeni mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Hapo Morogoro nakazia, sanasana hapo KilomberoNakutajia miko ambayo huwezi shindwa ishi hata kama huna hela
1.mbeya wilaya zote nzuri
2.iringa wilaya zote nzuri
3.morogoro baadhi ya wilaya hasa kilombero , kilosa, mvomero
4.ruvuma, wilaya zote
5.njombe wilaya zote
6.rukwa wilaya zote
Kwanini mikoa hiyo
Ni mikoa ambayo ardhi ina rutuba na chakula cha kutosha na mzunguko wake wa fedha sio wa msimu ni wakati wote.
NtakujaSingida amna biashara ndogo ndogo mkuu, kilimo ngoja kwanza.
Nenda Chato kuna mpaka uwanja wa kisasa wa ndege nasikia wachina soon watafunga minara ya 5G hukoHabari zenu wakuu
Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU
Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!
Karibuni wadau mtiririke
Hii Lugha ya sehemu fulani, huwezi shindwa ishi hata kama haula hela, huwa wanamaanisha nini, maana najua popote pale bila hela unaweza kuishi, ila mambo yatakua magumu kutekeleza. Hata kama utaishi kama tunavyoishi, kuna siku kadhaa tunakua hatuna hela ila tunaishi.Nakutajia miko ambayo huwezi shindwa ishi hata kama huna hela