Natafuta sehemu nzuri ya kuishi ndani ya Tanzania

Natafuta sehemu nzuri ya kuishi ndani ya Tanzania

Wadau mnaochangia ni vema mseme kuna fursa gani sehemu unayopendekeza mfano kilimo cha viazi,ndizi au uvuvi etc...Na sisi wasomaji tupate machimbo ya kukimbilia
 
Habari zenu wakuu

Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU

Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!

Karibuni wadau mtiririke
No other place like CHATO.
 
Nakutajia miko ambayo huwezi shindwa ishi hata kama huna hela
1.mbeya wilaya zote nzuri
2.iringa wilaya zote nzuri
3.morogoro baadhi ya wilaya hasa kilombero , kilosa, mvomero
4.ruvuma, wilaya zote
5.njombe wilaya zote
6.rukwa wilaya zote

Kwanini mikoa hiyo
Ni mikoa ambayo ardhi ina rutuba na chakula cha kutosha na mzunguko wake wa fedha sio wa msimu ni wakati wote.
Hapo Morogoro nakazia, sanasana hapo Kilombero

Cc: Kanungila Karim
 
Wengine huko hatukujui
By the way karibu iringa town
 
Habari zenu wakuu

Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU

Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!

Karibuni wadau mtiririke
Nenda Chato kuna mpaka uwanja wa kisasa wa ndege nasikia wachina soon watafunga minara ya 5G huko
 
Nakutajia miko ambayo huwezi shindwa ishi hata kama huna hela
1.mbeya wilaya zote nzuri
2.iringa wilaya zote nzuri
3.morogoro baadhi ya wilaya hasa kilombero , kilosa, mvomero
4.ruvuma, wilaya zote
5.njombe wilaya zote
6.rukwa wilaya zote

Kwanini mikoa hiyo
Ni mikoa ambayo ardhi ina rutuba na chakula cha kutosha na mzunguko wake wa fedha sio wa msimu ni wakati wote.
Hii Lugha ya sehemu fulani, huwezi shindwa ishi hata kama haula hela, huwa wanamaanisha nini, maana najua popote pale bila hela unaweza kuishi, ila mambo yatakua magumu kutekeleza. Hata kama utaishi kama tunavyoishi, kuna siku kadhaa tunakua hatuna hela ila tunaishi.

Hela ndiyo kila kitu.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom