Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
11
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nicheki pm tufanye biasharaHusika na kichwa hapo juu,
Wanajukwaa natafuta soko/wateja wa foil za alminium za jumla kuanzia pc 10 kwa ndogo na pc 6 kwa kubwa.
10pc ni 90k-80k
Mkuu mawasiliano tafadhari mhimu ili tufanye biasharanicheki pm tufanye biashara
KaribuSawa
Foil moja Tsh 10kFoi moja sh 20000? Wewe umezinunua wapi?
Unatengenezaje mkuu.?Foil bora kabisa kwa matumizi ya jikoni.
Zina ujazo wa mita 61.93.
Tupo TMDA ubungo external.
0696101524