Natafuta wa kunioa

Natafuta wa kunioa

Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
Nakutakia kila la kheri mkuu, ukishindwa hapa jaribu na huku
a93c4f4e062938546f9990e7e005607d.jpg
 
Tulia mdogo wangu, lengo lako ni zuri ila kuwa makini!!! Kwa umri wako bado hujachelewa, wanaume wa siku hizi hawapendi tegemezi. Hebu walau uwe na ka mradi ka kukuweka busy, huko uliko watakufuata wenyewe mdogo wangu!!! Kwa namna ulokuja nayo watakuchezea wengi utaishia kubaki na jeraha la moyo....
 
Back
Top Bottom