Natafuta wa kunioa

Natafuta wa kunioa

Tulia mdogo wangu, lengo lako ni zuri ila kuwa makini!!! Kwa umri wako bado hujachelewa, wanaume wa siku hizi hawapendi tegemezi. Hebu walau uwe na ka mradi ka kukuweka busy, huko uliko watakufuata wenyewe mdogo wangu!!! Kwa namna ulokuja nayo watakuchezea wengi utaishia kubaki na jeraha la moyo....
Nipe namba yako nikuunganishe naye umpe ushauri vizuri, la sivyo mdogo wetu ataharibiwa tu
 
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
weka picha
 
Mtoto avatar yako tu inavutia [emoji5]
all the best dada.
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
 
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
Hivi ni vyuma tu ndo vimekaza!!!!
 
Dada yangu na huo umri, una tatizo gani? Ndoa si suluhisho la matatizo yenu ni bora useme tatizo linalokusumbua ili utatuliwe.
 
Kuliko tamaa ikuwake udange bora uolewa kama ni kweli umemaanisha umechagua lililojema ndugu,,, wewe sio mdogo Kama umeamua mengine mtawezeshana ndoani,,, Alaf Wanaume nyie mungu anawaona msihamtaki 30+ ni wazee hamtaki single mom na huyu
 
IMG_0772.JPG
Mnataka kuniaminisha kuwa mtoto kama huyu kasura kake na ngozi yake elizabeti maiko walahi nachukua jiko amekosa mtu huko mtaani kwao mpaka amekuja huku JF kutafuta wazee kama nyie hapa.
Afu kana miaka 21 . Wazazi wake wako wap?

Afu maisahau kuwa wale jamaa wanakomaa daily na Max wapewe contact zenu max anakomaa hataki kuwapa. Sasa kwa staili hii hata samsoni alipelekwa kibla na delila kiurahiiisi sana.
 
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
Babe nangoja namba yako ujue
 
Back
Top Bottom