Natafuta wa kunioa

Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
Nakutakia kila la kheri mkuu, ukishindwa hapa jaribu na huku
 
Tulia mdogo wangu, lengo lako ni zuri ila kuwa makini!!! Kwa umri wako bado hujachelewa, wanaume wa siku hizi hawapendi tegemezi. Hebu walau uwe na ka mradi ka kukuweka busy, huko uliko watakufuata wenyewe mdogo wangu!!! Kwa namna ulokuja nayo watakuchezea wengi utaishia kubaki na jeraha la moyo....
 
Hivi humu jf wanaotakiwa kutafuta wenza ni wazee tu!!!

Kama we sio muoaji si upite mbali, au ndio ile kila kichaka mavi yanawabana!!!!
Mbona wivu ivi mbasi nikuoe wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…