Natafuta wa kunioa

[emoji15] kumbee
Wewe hata kusoma barua ndani ya bahasha ni kizungumkuti. Hivi ni mwanamke yupi anaweza andika kuwa anatafuta mwanaume wa kumuoa kavu kavu!!!! Ni dume hilo
 
Doh Kwa upande wangu sidhani kama ndoa inatafutwa kimtindo huo,

Wote watakao kucheki PM wana taka kuosha tu madungu yao ktk kisima chako kuwa makini kama kweli upo serious, ila kama unapenda usumbufu inbox wacha tukuje .
 
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
Wewe bado mdogo. Soma kwanza acha hayo mambo ya kuolewa.
 
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
Umri wako bado wa kuolewa mpk miaka 30
 
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
Karibu, ila kuonjwa muhimu, usijeniuzia mbuzi kwenye gunia. Ni pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…