Natafuta wa kunioa

Natafuta wa kunioa

Neema 96

New Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
1
Reaction score
9
Habari zenu,

Mimi naishi Dar es Salaam, kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa.

Nina miaka 21, elimu yangu ni certificate, sijaajiriwa bado. Atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi PM.
 
Kabla ya kuja in box ningependa kujua kabila dini yako umbile lako tafadhali
 
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
Samahani lakini nje ya maada huyo kwenye avatar ni wewe??
 
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
Nitumie pic PM nikuone ukiwa huna make up
 
Back
Top Bottom