Natafuta wana ambao ni Introverts

Kwel kabida
 
Karibu tuko humu,kwenye kuchat humu tuko mbele ila inapofika kuanza kuongea na watu wengine tusiowazoea inakuwa mtihani,ila najipenda na tabia yangu ya kupenda kujiamini na kujitegemea kwa kila kitu,huwa ninaamini naweza kufanikiwa kwa jitihada zangu mwenyewe na si kwa kutegemea nguvu ya ziada kutoka nje (nimefanikiwa sana kwa hili)....
 
tupo hapa....familia
 
Na wao wako maghettoni kwaoo wamechill kivyaoo, na hawataki huo urafikiii
Pambanaaaa Broooh!!! Au nije mie nikuchachue, utakua Extrovert wa kushantaaa soon tyuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi lile suala let la kuka nikuoneshe machine
 
Ndio wanakuita kondeboy soap..

Unauza soap?
 
Hahahaha zamani nilikuwaga mkimya mkimya ila nikaja kugundua nitakufa maskini aiseee.Uchumi wa Tanzania unataka utoke magetoni uweke uintrovert pembeni upige domo upate pesa.

Hivi hivi nyie maintrovert mtaishia kuajiliwa labda wachache wenu wenye extraodinary talents napo kwa bongo ngumu kutoboa labda ungekuwa mambele.

Sema naskia wengine wanaona kama sifa flani hivi kujiita introvert kutokana na stori za chini chini kwamba hawa jamaa wanakuwaga akili mingi et

Aisee kama na wewe unajifanyisha toka getoni utakufa maskini pimbi wewe ila kama hujifanyishi kama kashakaji flan hivi kapo humu basi Mungu akufanyie wepesi.

Sema hiyo personality mimi naona kama inachochea umaskini hivi
 
Unachochea umaskin kivip kaka
 
oyaaa kwa hiyo na mimi ni introvert, rafiki zangu wachache wanavyonijua sivyo nzengo inavyonijua
 
Dah kevoo nlipoteza namba yako......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…