Natafuta wana ambao ni Introverts

Natafuta wana ambao ni Introverts

Nakujaa na shost angu km nyongezaaa, ushindwee wee tyuu.
Em tag Loc, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂
Ilishawahi nitokea hii namuita Ke mmoja anakuja na Mwenzake ghetto nilikasirika mnoo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilishawahi nitokea hii namuita Ke mmoja anakuja na Mwenzake ghetto nilikasirika mnoo
Ko hukupiga 3somes mlongooo? Ulikwamaa pakubwaa mnooo.
Aaaah wee, em sema kwelii?? Woiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari.......!
Kama kichwa kinavosomeka hapo juu, naandika ujumbe huu nikiwa chumbani kwangu peke yangu, mimi binafsi ni introvert na najikubali sana na hii personality yangu but hadi sasa sijapata rafiki au mtu wa karibu ambae ni introvert kam mimi coz nataka tuwe tunashare mambo fulan yanayousiana na hii personality.
Nipo hapa ila nafanya transition kuepukana na hii lifestyle
 
Between the lines inaonekana wewe sio introvert bali inawezekana kuna hali unapambana nayo inayokufanya ujitenge na watu......sasa Ile hali inakuisha taratibu unaanza kuuhisi upweke na ndio maana unahitaji kampani........

Introverts wana enjoy kuwa peke yao sasa wewe unahitaji mtu wa kushare naye ni wazi kuwa unasumbuliwa na upweke.......

Kama mawazo yangu ni kweli basi Mungu akufanyie wepesi kwenye changamoto yako......
 
Kuhusu hiyo aina ya watu kuna kitu kimoja nimekifahamu,
Mara nyingi hao watu wakikuzoea wanaongea balaaa na akiongezeka hata mtu hapo hapo ambae hana mazoea nae anapiga kimnya hapo hapo
Ni wagumu kuzoeana na kila mtu ndio maana wanaonekana wako wenyewe wenyewe na inafikia hatua baadhi ya watu kuwaona ni watu wapole kumbe hakuna watu manyoka kama hao wazee wa kulia wenzao timing wakugonge kwenye mshono
 
Yaani unamiss watu wa kubadilishana mawazo ? as an introvert speaking mara nyingi hatutafuti watu... na kupiga story tunaboreka..., na kwenye story yaani sio kuongea ili mradi mmeongea labda kama kuna sababu ya kuongea..., hence badala ya kutafuta watu wa kuongelea masuala tafuta suala la kuongelea kama litakuwa na tija kwa watu husika basi wataliongelea...
 
Back
Top Bottom